Friday, May 23, 2014

Another Step: Mirror - Kolokolo

Msanii kutoka Endless Fame kampuni inayomilikiwa na Super Star Wema Sepetu
Mirror ambae alifanya poa na ngoma yake ya Baby... Leo kupitia XXL ya Clouds Fm akiwa na manager wake Petitman ameachia ngoma nyingine mpya inayokwenda kwa jina la Kolokolo...